Pages

Banner 468 x 60px

Tuesday, January 27, 2015

Breaking News:Kiongozi wa wafanya Biashara kariakoo jijini Dar es Salaam akamatwa na jeshi la Polisi

0 commentsRead more...

Local eu Statement on closure of a Newspaper in Tanzania

0 comments

Read more...

Dk. Shein asema utekelezaji wa ilani ya CCM umekuwa na mafanikio makubwa

0 comments

Read more...

Wapiganaji wa kikurdi wawatimua katika mji wa kobane

0 comments
Vikosi vya Wakurdi vimefanikiwa kuwatimua wapiganaji wa Dola ya Kiislam (IS) katika mji wa Kobane, na kumaliza mapigano yaliyodumu kwa muda wa miezi minne, katika mji wa Syria.
Wapiganaji wa Kikosi cha Kujilinda cha Wakurdi, wamesema wameingia katika eneo la Mashariki la mji wa Kobane, baada ya wapiganaji wa kundi la IS kuzidiwa nguvu na kuondoka.
Mji Kobane unaonekana kuwa ni moja ya mtihani mkubwa wa kimkakati kukabiliana na IS katika nchi ya Syria kwa kutumia mashambulizi ya anga.
Read more...

Yafahamu mambo mazito yaliyokuwa yakijadiliwa leo Bungeni

0 comments


Read more...

Monday, January 26, 2015

Mama awafanyia wanae wawili ukatili wa kutisha kwa kuwauawa Kata ya Chemchemu Manispaa ya Tabora .

0 comments

Read more...

Watu 18 wamekufa katika mapigano baini ya polisi na waandamanaji Nchini Misri

0 comments

Read more...

Hivi ndivyo ilivyokuwa show nzima iliyokuwa imewakusanya Mastar,Kiboko yao CONCERT

0 comments

Read more...

Tazama na kuona Picha ya namna ambavyo mbunifu wa mavazi wa kimataifa, Sheria Ngowi alivyo mvalisha Rais mpya wa Zambia.

0 comments
Read more...

Taarifa kwa vyombo vya habari

0 comments
Taarifa kwa vyombo vya habari


THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS


Telegrams : "CABINET"

DAR ES SALAAM

Telephone : 2116898, 2116900/6

E-mail : chief@ikulu.go.tz

E-mail : ikulu@ikulu.go.tz

Fax : 2113425/2116914/2117272PRESIDENT’S OFFICE,

THE STATE HOUSE,

1 BARACK OBAMA ROAD

11400 DAR ES SALAAM.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana Masha J. Musomba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi.

Uteuzi huo ulianza Alhamisi iliyopita, Januari 22, 2015.

Kabla ya uteuzi wake, Bwana Musomba alikuwa Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF).

Imetolewa na:

Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,

Ikulu,

DAR ES SALAAM.25 Januari, 2015

Katika hatua nyingine leo 26 Rais JAKAYA KIKWETE anatarajiwa kuwasili Berlin, Ujerumani leo kuhudhuria mkutano wa kimataifa wa kujadili jinsi ya kuboresha mipango ya utoaji chanjo kwa watoto wadogo hasa katika nchi zinazoendelea.
Kwa mujibu wa taarifa ya Ikulu baada ya kumaliza ziara yake Ujerumani, Rais KIKWETE aliyetokea kuhani kifo cha Mfalme Abdullah bin Abdul Aziz al Saud wa Saudi Arabia  atakwenda Ufaransa ambako miongoni mwa mambo mengine atakutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa Ufaransa.

Read more...
 
TAMBARARE HALISI © 2015.. HAKI ZOTE ZIMEHIFADHIWA.. BLOGU IMEBORESHWA NA..KAKUNDA FORUM, 0652633362.