Image
Image

EXCLUSIVE: LIGI KUU VODACOM YAINGIA RAUNDI YA ISHIRINI NA TANO

Ligi kuu ya vodacom (VPL) inaendelea katika raundi ya 25 kesho kwa mechi 5 zitakazochezwa katika miji ya Dar es Salaam, Turian, Morogoro na ...
Read More

MAUAJI BUTIAMA YAKITHIRI,MWANAMKE AKATWA KICHWA

Na Augustine Mgendi, Mara. Vitendo vya Mauaji Kwa Wanawake katika wilaya ya Buiama Mkoani Mara bado Vinaendelea baada ya Mwanamke mmoja a...
Read More

VITENDO VYA UJANGILI VYAENDELEA KUKITHIRI PORI LA SELOU MKOANI RUVUMA'

Na.Emmanuel Msigwa  ,  Tunduru Wimbi la vitendo vya ujangili dhidi ya Tembo katika Pori la Selou la Tunduru Mkoani Ruvuma ambalo limekith...
Read More

JAJI ATUPILIA MBALI MAOMBI YA MTUHMIWA - KIFO CHA PADRI MUSHI

Na. Munir Zakaria, Zanzibar.  Jaji wa Mahakama Kuu ya Zanzibar, Mkusa Isaack Sepetu leo ameyatupa maombi yaliyofunguliwa na mtuhumiwa wa ...
Read More

BALE ASHINDA TUZO ZA MCHEZAJI BORA

GARETH BALE amefanikiwa kushinda tuzo mbili za mchezaji bora wa mwaka wa chama cha wacheza soka la kulipwa nchini England na mchezaji bora...
Read More

AZAM YATUA MOROCCO KWA AJILI YA KIKIPIGA J'MOSI NA RABAT

AZAM FC imewasili salama nchinio Morocco tayari kwa mchezo wa marudiano dhidi ya wenyeji, FAR Rabat, Raundi ya Tatu ya Kombe la Shirikish...
Read More

EXCLUSIVE: LEMA AFIKISHWA MAHAKAMANI, ASOMEWA MASHITAKA YA UCHOCHEZI

Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema leo amefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Arusha na kusomewa shitaka la uchochezi  na ...
Read More

EXCLUSIVE: MCHAKATO WA KATIBA MPYA, TUME KUFANYA MAAMUZI MAGUMU KWA WANANCHI.

Na .Mcharo Mrutu Dar es Salaam. Wakati tume ya mabadiliko ya katiba ikiwa katika hatua ya uchambuzi wa maoni ya wananchi pamoja na kuandi...
Read More

EXCLUSIVE: BUNGENI HAPATOSHI SAKATA LA MAJI, SPIKA MAKINDA ASITISHA KIKAO CHABUNGE HADI KIELEWEKE.

Na. Kuringe Mongi, Dodoma  Pamoja na serikali kukubali kuongeza shilingi bilioni 184.5 katika miradi ya maji, spika wa bunge leo imembidi...
Read More

EXCLUSIVE: SIMANZI, HUZUNI ZA TAWALA DSJ, WAPOTEZA MPENDWA WAO MWANAHABARI CHIPUKIZI.

Wanafunzi wa chuo cha uandishi wa habari( DSJ) wapo katika simanzi kufuatia Msiba wa Mwanafunzi mwenzao ambaye ni waziri chuoni hapo kufar...
Read More

VIONGOZI WATAKIWA KUWA WABUNIFU

Viongozi mbalimbali nchini wamekumbushwa kuwa wabunifu katika kutatua matatizo ya wananchi ili kuhakikisha wanakabiliana  kero za wananchi w...
Read More

EXCLUSIVE; SERIKALI KUCHUNGUZA SHULE NA VYUO BINAFSI VISIVYO NA BODI

Serikali imeanza kuchunguza na kuchukua hatua kwa shule na vyuo vyote binafsi visivyokuwa na bodi ili kuvichukulia hatua kutokana na kukiuka...
Read More

EXCLUSIVE: WAKAZI WA KINONDONI HATARINI

Wakazi  na wafanyabiashara wa mtaa wa studio uliopo kinondoni jijini dsm wako hatarini kutokana na nguzo kubwa ya umeme iliyoko eneo hilo ku...
Read More

WANAFUNZI CHUO KIKUU WAKIRI KUTO JIAMINI NA KUPATASHIDA KWENYE LUGHA YA KIINGEREZA

Na. Peter shadrack, Dar es Salaam. Wanafunzi wa Vyuo Vikuu na Taasisi mbalimbali za elimu ya juu, wamekiri kuwa kutojiamini pamoja na matu...
Read More

EXCLUSIVE; WAFUGAJI WAPEWA SOMO JUU YA CHANJO KWA WANYAMA

Wananchi wanaofuga wanyama wa majumbani wametakiwa kuitikia wito wa serikali kuhusu suala zima la kuwapatia chanjo wanyama wanaowafuga ili k...
Read More

SEXCLUSIVE: HEREHE ZA MUUNGANO TANZANIA ZAFANYA MECHI YA SIMBA NA RUVU SHOOTING KUKIPIGA MEI 5 2013.

Mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kati ya Ruvu Shooting na Simba iliyokuwa ichezwe leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam sasa itafanyika Me...
Read More

KWA MWENDO HUU BARCA INAWEZA KUSONGA MBELE LICHA YA KICHAPO CHA 4-0?

Barcelona wameruhusu wavu wao kuguswa mara nne katika mechi ya Champions League kwa mara ya kwanza tangu walipofungwa 4-2 na Chelsea katika...
Read More

POLISI KILIMANJARO WAACHA LINDO WAINGIA DISKO NA SMG.

ASKARI Polisi wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) mkoani Kilimanjaro wanaolinda mipaka kukabiliana na biashara za magendo zisiende Kenya, wa...
Read More

EXCLUSIVE: YAFAHAMU MAMBO 11 JUU YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZAZIBAR.

Watanzania wapo katika harakati za kumbukumbuka na hata kusherehekea  muungano wa tanganyika na zanzibar, uliokuwa umetiwa saini...
Read More