Ismael
Mohamed (Bin majid).
Taarifa za
ndani kabisa kutoka ofisi ya ubalozi wetu jijini Brussels nchini Belgium
zinapasha kuwa mheshimiwa mbunge aliyetajwa katika thread hii ameiba mkufu wa
dhahabu katika shopping mall moja Kubwa iliyoko jijini Brussels.
Mh.
Mwanjelwa alikuwa akihudhuria mkutano wa binge la commonwealth akiwa
ameambatana na wabunge wenzake Job Ndugai(naibu spika) na Mussa Azzan
Zungu(Ilala).
Taarifa za
wizi Hui zilibainika baada ya shopping mall hiyo kumbaini mwizi wao kuwa ni mbunge
wa Tanzania hivyo kuwasilisha invoiceubalozini kwetu kwa ajili ya malipo.
Baada ya
wizo huo mbunge Mwanjelwa alipanda ndege na kutoroka kuelekea nchini Singapore
tarehe 21 September 2013.
Habari hii
imefanywa siri kubwa sana Kati ya wabunge hao na ofisi ya ubalozi wetu wa
Brussels na hadi taarifa hip inanifikia ni baada ya ofisa ubalozi mmoja
kushindwa kuvumilia Tabia hii chafu ya mbunge kuidhalilisha nchi huko ughaibuni
kwa mkufu ambao kwa kipato chake angeweza kuununua.
Itakumbukwa
kuwa mbunge huyu amewahi kukumbwa na kashfa ya kuiba mataulo katika hoteli moja
maarufu jijini Arusha.
Bado ninaendelea kufuatilia habari hizi kujua
kama ubalozi umemlipia invoice ile AMA amebanwa na vyombo husika na kuhakikisha
analipa Demi Hilo mwenyewe.
Kuhusu hili tutawajuza kadiri mwandishi alitujuza atakavyo kuwa kapata.



0 comments:
Post a Comment