Image
Image

Kufuatia kuanguka kwa jengo la ghorofa nne vifo vyaongezeka Nairobi nchini Kenya.



Vifo vilivyotokana na kuanguka kwajengo la ghorofa nne katika eneo la Kaloleni Jijini Nairobi,vimeongezeka.
Zoezi la kutafuta watu waliofukiwa kwenye kifusi cha jengo hilo linaendelea hii leo, huku wakazi wakilalamikia uhaba wa vifaa vya kusaidia zoezi la uokoaji.

 Mwili wa mtu mmoja ulitolewa jumanne kwenye vifusi, na miili mingine mitatu ilitolewa jana usiku ikiwa ni saa kadhaa kupita baada ya ghorofa hilo kuanguka.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment