Image
Image

Maalim Seif Sharif Hamad Aendelea na ziara yake nchini Uturuki

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad akiweka sahihi kwenyekitabu cha wageni mashuhuri baada ya kufika kwenye jumba la makumbusho la Melvana nchini Uturuki.

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad akipata maelezo ndani ya jumba hilo.

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad akitembelea sehemu ya jumba hilo la makumbusho.


Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad  akitembelea hospitali ya rufaa ya Acibaden mjini Istanbul nchini  Uturuki. (Picha na Salmin Said, Istanbul).


Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment