Image
Image

Makamu wa kwanza Rais zanzibar, Maalim Seif akiwa ziarani nchini Uturuki

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na viongozi wa jumuiya za watembezaji watalii nchini Uturuki.



Baadhi ya viongozi wa jumuiya za watembezaji watalii nchini Uturuki,wakimsikiliza Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif  Sharif Hamad (hayupo pichani) walipokutana naye kwa mazungumzo mjiniIstanbul nchini Uturuki. (Picha na Salmin Said, Istanbul).
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment