Image
Image

Mama awafanyia wanae wawili ukatili wa kutisha kwa kuwauawa Kata ya Chemchemu Manispaa ya Tabora .



Katika hali isiyokuwa ya kawaida watoto wawili mmoja wa miaka minne, na mdogo wake wa miezi minne wameuawa na mama yao , ZUHURA STIVIN, aliyedhaniwa kutokuwa na akili timamu, na kufukiwa katika mashimo mawili tofauti, katika nyumba walimokuwa wakiishi, huko katika mtaa wa salimini kata ya chemchemu manispaa ya Tabora
Wakizungumzia tukio hilo linalodhaniwa kutokea kuanzia asubuhi ya terehe 25/01/2015, hadi walipogundua tukio hilo usiku  saa moja->Kujua zaidi Bofya Hapa>>>http://www.itv.co.tz/news/local/1588-16912/.html
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment