Image
Image

Taarifa kwa vyombo vya habari

Taarifa kwa vyombo vya habari


THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS


Telegrams : "CABINET"

DAR ES SALAAM

Telephone : 2116898, 2116900/6

E-mail : chief@ikulu.go.tz

E-mail : ikulu@ikulu.go.tz

Fax : 2113425/2116914/2117272



PRESIDENT’S OFFICE,

THE STATE HOUSE,

1 BARACK OBAMA ROAD

11400 DAR ES SALAAM.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana Masha J. Musomba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi.

Uteuzi huo ulianza Alhamisi iliyopita, Januari 22, 2015.

Kabla ya uteuzi wake, Bwana Musomba alikuwa Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF).

Imetolewa na:

Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,

Ikulu,

DAR ES SALAAM.



25 Januari, 2015

Katika hatua nyingine leo 26 Rais JAKAYA KIKWETE anatarajiwa kuwasili Berlin, Ujerumani leo kuhudhuria mkutano wa kimataifa wa kujadili jinsi ya kuboresha mipango ya utoaji chanjo kwa watoto wadogo hasa katika nchi zinazoendelea.
Kwa mujibu wa taarifa ya Ikulu baada ya kumaliza ziara yake Ujerumani, Rais KIKWETE aliyetokea kuhani kifo cha Mfalme Abdullah bin Abdul Aziz al Saud wa Saudi Arabia  atakwenda Ufaransa ambako miongoni mwa mambo mengine atakutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa Ufaransa.

Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment