Image
Image

Wapiganaji wa kikurdi wawatimua katika mji wa kobane

Vikosi vya Wakurdi vimefanikiwa kuwatimua wapiganaji wa Dola ya Kiislam (IS) katika mji wa Kobane, na kumaliza mapigano yaliyodumu kwa muda wa miezi minne, katika mji wa Syria.
Wapiganaji wa Kikosi cha Kujilinda cha Wakurdi, wamesema wameingia katika eneo la Mashariki la mji wa Kobane, baada ya wapiganaji wa kundi la IS kuzidiwa nguvu na kuondoka.
Mji Kobane unaonekana kuwa ni moja ya mtihani mkubwa wa kimkakati kukabiliana na IS katika nchi ya Syria kwa kutumia mashambulizi ya anga.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment