Image
Image

Breaking News:Mandamano ya CUF yaahirishwaa


Chama cha wananchi CUF kimeahirisha maandamano yake ambayo yalikuwa wayafanywe na jumuia ya vijana ya chama hicho leo jijini  Dar es salaam yakiwa na madhumuni ya kushinikiza tume ya uchaguzi kuongeza siku za kuandikisha wapiga kura.Mwenyekiti wa chama cha wananchi CUF Prof.Ibrahim lipumba amesema kwamba kuahirishwa kwa maandamano hayo tayari wameshalipa taarifa Jeshi la Polisi kupitia Kamanda wa kanda maalum ya Dar es Salaam Suleiman Kova.
Kabla ya kuahirishwa maandamano hayo tayari Jeshi la Polisi lilipiga marufuku maandamano ya Jumuiya ya Vijana ya Chama cha Wananchi CUF yaliyotarajiwa kufanyika jijini Dar es Salaam leo.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment