Image
Image

Breaking News: NEC yasogeza mbele mchato wa uandikishaji wananchi katika Daftari la wapiga kura.


Tume ya taifa ya uchaguzi NEC imesogeza mbele Mchakato mzima wa tarehe ya wapigakura kuanza kujiandikisha katika Daftari la kudumu la wapiga kura kutoka februari 19 hadi february 23 mwaka huu.

Taarifa hiyo imetolewa na mwenyekiti wa tume ya uchaguzi jaji Damian lubuva anayebainisha kuwa hatua hiyo inachukuliwa ili kutoa nafasi kwa vyama vya siasa kuandaa wanachama wao na kuhamasisha watu kujitokeza kujiandikisha.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment