Image
Image

Didier Drogba ajenga zahanati ya kwanza katika Jiji la Abijan

Mshambuliaji staa wa timu ya Chelsea, Didier Drogba ameamua kujenga zahanati ya kwanza katika Jiji la Abijan, Ivory Coast kwa lengo la kusaidia jamii yake chini ya Mfuko wa Didier Drogba. 
Hii ni ya kwanza kati ya tano ambazo Secretary wa Mfuko, Guy Roland Tanoh alizoahidi kwamba wamejipanga kuzijenga ndani ya Ivory Coast kwa ajili ya kusogeza huduma hiyo kwa watu Nahodha huyo wa zamani wa timu ya Ivory Coast, hivi karibuni alitumia ukurasa wake wa Instagram kueleza taarifa hiyo pamoja na kuweka picha za maendeleo ya ujenzi wa zahanati hiyo ambao unakaribia kukamilika. 
Roland alisema Didier aliona ni bora kujenga zahanati hizo tano nyumbani kwao kuliko kujenga hospitali moja kubwa kwa kuwa hospitali moja isingeweza kuhudumia maeneo mbalimbali na kwa wingi kama ambavyo zahanati zinaweza kuhudumia watu hao.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment