Image
Image

Fahamu makosa yanayo fanyika wakati wapenzi wapiya wanapo kutana kwa mara ya kwanza kuelekea Valentine Day.



Linapokuja swala la kujamiiana kwa wapenzi wapya ambao hawajawahi kukutana kimwili tangu kujuana kwao ni mtihani mkubwa. Kwani kila
mmoja anakuwa na matarajio tofauti na mwenzake. Yaani hakuna anayejua 
kwa usahihi kwamba mwenzake anapenda afanyiwe nini ili kupata ashki ya 
kushiriki jambo hilo, lakini wanawake wengi ndio ambao hulichukulia 
jambo hilo kwa uzito mkubwa kiasi kwamba, kama mwanaume asipomudu kuwa 
mtundu kitandani, nafasi yake kwa mwanamke huyo inaweza kuwa finyu sana 
labda tu kama atakuwa amempendea pesa…
Hapa chini nitaeleza makosa yanayoonekana madogo yanayofanywa na wanaume kitandani wakutanapo na wapenzi wapya ambayo wanawake huyapa uzito mkubwa:
1. Kumuandaa
Kumuandaa mwananamke sio pale muwapo kitandani tu, la hasha, maandalizi huanzia katika mazungumzo ili kumuweka katikamood. Hapa mwanaume
anatakiwa aongee na mpenzi wake kwa lugha nzuri, kwa maneno matamu na 
yenye mahaba. Atumie muda mwingi kuzungumza naye, asiwe na haraka kuanza
kufanya tendo. Mazungumzo yahusu masuala ya uhusiano ukiwemo upendo. Busu
lililotulia na sio la papara linatajwa kuamsha hisia za mwanamke 
kushiriki tendo, lakini pia mwanaume anashauriwa kuwa msomaji mzuri wa 
hisia za mwanamke ili kujua ni eneo gani akimgusa kwa kumpapasa mwili 
wake unasisimka. Kwa mwanamke kufanya mapenzi sio kile kitendo cha 
kuingiliwa, bali ni kitendo cha kumuandaa kiakili na kimwili ili awe 
kwenye mood ya kushiriki jambo hilo. iwapo mwanaume akili yake 
itakuwa inalenga tu kile kilichopo katikati ya mapaja ya mwanamke na 
labda matiti yake, basi hapo mwanamke atamuona sio kabisa, yaani 
hatoweza kumfikisha kileleni.
2. Unadhifu
Hakuna kitu kinachowakera na kuwakwaza wanawake kama mwanaume mchafu 
hususan wakati wa kujamiiana. Hilo linaweza kumfanya mwanamke asifikirie
tena kufanya tendo na mwanaume huyo. Unakuta mwanaume ananuka kikwapa 
au amevaa chupi wiki nzima bila kuifua na akiivua eneo la chini ya 
kitovu lote linanuka au ana kucha ndefu tena chafu na zina ncha kali 
kwenye kona (sharp edge) kiasi kwamba akimpapasa mwanamke zinamkera 
badala ya kumpa ashki. Akipumua mdomo unanuka, yaani akimpiga busu 
mwanamke anamkata stimu yote ya kufanya tendo hata kama alikuwa tayari. 
Inashauriwa mwanaume kuoga na kupiga mswaki kama hana uhakika na harufu ya kinywa chake, la sivyo anaweza kutumia chewing gum za kuondoa harufu mbaya mdomoni kabla
ya kukutana na mwanamke na pia kukata kucha na kuondoa ncha kali zile 
zinazojitokeza pembeni ya ukucha ili zisimkere mwanamke wakati wa 
kumuandaa……
3. Mapenzi ya vurugu na yenye kuumiza
Tukiacha tatizo la kukerwa na harufu na kucha, lakini pia wanawake 
hawapendi mwanaume anayetwanga nje ndani wakati wa kufanya mapenzi kama 
vile anachimba dhahabu. Wanawake wanapenda mitwango yenye staha. halafu 
itokee mwanaume huyo awe ana kucha ndefu zenye ncha zilizojitokeza 
pembeni, kisha awe anautumia mkono wake kumpapasa mwanamke sehemu 
mbalimbali za mwili wake huku akiendelea kutwanga kwa 
fujo……..Aaaaaaagh!!
Asije akatarajia mwanamke huyo akatamani tena kujaamiana naye, labda 
kuwe na kitu kingine anachokitafuta kwa mwanaume huyo na siyo mapenzi. 
Kuna baadhi ya wanaume hupenda kuchezea chuchu za maziwa wakati wa 
kufanya mapenzi kwa kuziminya kwa nguvu au kung’ata maeneo mbalimbali ya
mwili wa mwanamke kwa nguvu. Mwili wa mwanamke uko laini laini na 
unatakiwa ashikweshikwe kwa makini na kwa staha. Hakuna ubaya kumng’ata 
ng’ata mwanamke kimapenzi (love bite) hapa na pale lakini inashauriwa 
kuchunguza kama anafurahia kitendo hicho kwa kumwagalia usoni, akiona
anaonyesha sura ya kukereka kwa maumivu, basi inashauriwa kuacha na 
kubadilisha kwa kujaribu kitu kingine kwani wanawake wana maeneo mengi 
sana ya kuamsha ashki, na akimpatia atamsikia mwenyewe akiweka msisitizo
kwamba aendelee……
4. Kimya mno ….. Au kupiga makelele
Wanaume wengi hupenda sana mwanamke anapopiga makelele pale wafanyapo 
mapenzi lakini pia wanawake hupenda kuona kama mwanaume naye anafurahia 
tendo kama anavyofurahia yeye anavyofurahia. kama mwanaume ni mkimya 
anapofanya mapenzi yaani haongei chochote yeye anatwanga tu, mwanamke 
anaweza kujiuliza kama mwanaume huyo anafurahia tendo au la.
Wakati mwingine ile sauti ya kupumua kwa sauti itolewayo na mwanaume 
wakati wa kufanya mapenzi inaweza kuwaridhisha baadhi ya wanawake, 
lakini wengine wanapenda kusikia mazungumzo kutoka kwa mwanaume. Iwapo 
mwanaume atapotelewa na maneno kutokana na kusikilizia utamu wa tendo 
inashauriwa japo ataje jina la mwanamke hata mara chache ili kumfanya 
mwanamke ajue kuwa akili na mawazo ya mwanaume huyo yapo kwake.
Hapa naomba kuweka angalizo…. kama mwanaume ni mtu wa kuongea sana 
wakati wa kufanya mapenzi anaweza kumpotezea mwanamke umakini wa kuvuta 
hisia ili kufika kileleni. Kwani kuna baadhi ya wanaume huwauliza 
wanawake wanaofanya nao mapenzi maswali mengi yasiyo na maana.. “Unauonaje huu mtindo.” “Unajisikiaje nikikushika hapa.”“Je ninafanya vizuri na huumii.”
Lo lo lo lo loooooo….Huna haja ya kuuliza maswali yote hayo, kwani 
mwili wake unakupa ushirikiano sasa maswali yote hayo ya nini….! Najua 
hakuna ubaya kumuuliza mwanamke kama anajisikiaje au kama unavyofanya ni
sahihi kwa maana kama mtindo unaotumia haumuumizi, lakini hilo 
hufanyika katika hatua ya mwanzo, sio pale mchezo umekolea unaanza 
kuuliza maswali, unakuwa unamkera tu…… Funga mdomo wako na uendelee na 
shughuli.
5. Kulazimisha Oral Sex
Nikisema orol sex, nadhani mnaelewa. Kuna baadhi ya wanaume hupenda 
kuchezewa sehemu za siri au kunyonywa. Si vyema kumlazimisha mwanamke 
kunyonya bila ridhaa yake. Kama anapenda kufanya hivyo mwache aamue 
mwenyewe na sio umshike tu kichwani na kumuelekeza yalipo maumbile yako.
Kama mwanamke anapenda kufanya hicho kitendo mwache afanye mwenyewe na 
hahitaji kuelekezwa..
6. Kumaliza haraka au kuchelewa kumaliza
Najua wanaume watasema “hii ni ‘too much.’ Kumaliza haraka ni shida na kuchelewa kumaliza pia ni shida, sasa tushike lipi…..!”Nataka
muelewe, kama inakuchukua dakika mbili kumaliza, hilo ni tatizo kaka 
yangu, katafute msaada wa kitabibu uondokane na fedheha kabla ya 
kuparamia mwanamke. Kwa wanawake wengine inaweza isiwe ni tatizo iwapo 
utamuandaa vizuri kabla ya kumuingilia ili kama ni kumaliza mmalize 
pamoja hivyo kutogundua tatizo lako labda..! lakini kama sio mzuri 
katika kumuandaa mwanamke, linaweza kuwa tatizo na ukajikuta anakudharau
baada ya kumaliza tendo… (Najua kwamba siku ya kwanza kukutana na 
mpenzi mpya inaweza kukufanya ukamaliza haraka kutokana na kuhemkwa, 
lakini basi jitahidi mara ya pili uende sawa usije ukamaliza haraka 
tena…..).
Lakini
pia wanawake hawakuumbwa kwa ajili ya mashindano ya mbio za kufanya 
mapenzi. Nakubali kwamba wapo baadhi ya wanawake wanahitaji muda zaidi 
ili kufika kileleni. Lakini kama itachukua dakika 45 mpaka saa moja bado
unatwanga tu, angalia usije msababishia mwenzio michubuko katika sehemu
zake za siri. Inatakiwa kuonyesha ushirikiano katika jambo hilo zaidi 
ya kujipendelea mwenyewe……!
7. Hutupi kifanyio baada ya kumaliza…!
Kutupa kondom uliyotumia wakati wa kufanya mapenzi ni kazi yako na si 
kazi yake. Sio uungwana umemaliza kufanya naye mapenzi kisha unamwagiza 
akatupe kondom uliyotumia. Lakini pia sio busara kuiweka chini na 
kuiacha ikichafua sakafu. Haijalishi mko guest house, nyumbani kwako au kwa mpenzi wako, kinachotakiwa ni kuonyesha ustaarabu. Ni nyema ukaivua na kuiviringisha kwenye toilet paper,
karatasi au kipande cha gazeti na kuiweka mahali pazuri kabla ya kwenda
kuitupa mahali panapostahili………. Vinginevyo mpenzi wako atakuona wewe 
sio msafi na siyo mstaarabu……

Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment