Image
Image

Maandamano ya vijana wa CCM yapigwa stop na jeshi la Polisi


                                                 Kutoka Dar es Salaam
Jeshi la polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limeyazuia maandamano ya amani ya vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM), yaliyokuwa yafanyike kwa lengo la kusherehekea maadhimisho ya miaka 38 ya CCM. Akiongea na waandishi wa habari leo Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna Suleiman Kova amesema wameamua kuzuia maandamano hayo kutokana na kuwepo kwa mazingira ya uvunjifu wa amani. Kamishna Kova amesema kutokana na kubadilika kwa lengo la maandamanano hayo zipo dalili tosha za uwezekano wa kuwepo kwa fujo ambazo zinaondoa hali ya usalama na
kutoa wito kwa waliohusishwa katika maandamano hayo yaliyokuwa yafanyike kesho wasishir
iki.






Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment