Image
Image

NTETEMA: Tutamuomba Rais Kikwete Kubatilisha adhabu ya kifo kuwa kifungo cha maisha ili kukabiliana na wanao patikana na hatia za kuwauawa watu wenye ulemavu wa ngozi

BI .VICKY NTETEMA -Mkurugenzi wa Under the Sun nchini Tanzania akiwa na mtoto ambaye ni albino.
Shirika lisilo la Serikali la kutetea watu wenye albanism litamwomba Rais JAKAYA KIKWETE, kubatilisha adhabu ya kifo kuwa kifungo cha maisha kwa watu waliopatikana na hatia ya mauaji ya walemavu wa ngozi.
Pendekezo hilo limetolewa na mkurugenzi wa shirika hilo la Under the Sun hapa nchini VICKY NTETEMA kufuatia kuzuka wimbi la mashambulio na utekaji walemavu wa ngozi tukio la hivi karibuni likiwa utekaji mtoto mdogo Mkoani Geita.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment