Image
Image

Rais kikwete akutana na uongozi wa chuo kikuu cha tumaini ikulu leo

Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na baadaye katika

mazungumzo na uongozi wa juu wa Chuo Kikuu cha Tumaini Dar es salaam

uliomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo February 9, 2015.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na baadaye katika

mazungumzo na uongozi wa juu wa Chuo Kikuu cha Tumaini Dar es salaam

uliomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo February 9, 2015.

Ujumbe huo umeongozwa na Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la kilutheri

Tanzania Dkt Alex Malasusa pamoja  na Mkurugenzi Mkuu wa shirika la

Nyumba la taifa (NHC) na Mwenyekiti wa Harambee ya chuo hicho ambacho

kinamilikiwa na kanisa la KKKT. PICHA NA IKULU

Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment