Image
Image

Sita amsimamisha kazi mkurugrnzi mkuu wa bandari kwa tuhuma mbali mbali jijini Dar es Salaam.


Waziri wa uchukuzi nchini Tanzania Mh.Samweli Sita amemsimamisha kazi mkurugenzi mkuu wa bandari Bwana madeni kipande kwa tuhuma za kukiuka maadili ya utoaji wa tenda na kuchelewesha zabuni zilizokuwa zinashinda.

Mh.Samweli Sita Waziri wa uchukuzi nchini Tanzania 


Madeni Kipande Mkurugenzi Mkuu wa Bandari
Hata hiyo sitta yaya ameunda tume ya watu sita kumchunguza mkurugenzi huyo endapo akibainika sheria itafuata mkondo wake.



Mhandisi Kipande ambaye atakuwa nje ya madaraka kwa muda wa wiki mbili kupisha uchunguzi huo na nafasi yake itakaimiwa na Meneja wa Bandari Dar es Salaam Bw. Awadhi Masawe.
Endelea kufuatilia taarifa zetu Tambarare Halisi itakujuza kwa kila hatua.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment