Image
Image

Story ambayo imemeck headline katika mitandao mbali mbali ndani na njee ikimuonyesha Rais mugabe alivyo anguka mara baada ya kumaliza kuhutubia.


Mara tu baada ya kuwasili kutoka Ethiopia Jumatano hii, Rais wa Zimbabwe aliwasili nchini humo na kuhutubia wananchi waliofika kumpokea. Baada ya kuhutubia raisi huyo ambaye anafikisha miaka 91 tar 21 mwezi huu wa pili(Februali) alianguka akishuka katika ngazi kama ambavyo picha zinaonekana. Akiwa Ethiopia, Mugabe amechaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Umoja wa Afrika (AU)
1.Hapa ndipo alipo piga mweleka na kuanguka chini
                                        1. Alianza Kushuka Katika Ngazi.>>Bofya hapahttp://africanmishe.blogspot.com


Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment