Image
Image

Umoja wa mataifa walaani vikali mauaji ya mwanahabari wa Japan


Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa limelaani vikali mauaji ya mwanahabari wa Japan Kenji Goto yaliyofanywa na kundi la Islamic State IS.

Kwenye taarifa yake, baraza hilo limesema uhalifu huo unaonesha hatari ambayo waandishi wa habari na watu wengine wanakabiliwa nayo kila siku nchini Syria.

 Baraza hilo pia limetaka kuachiwa huru kwa watu wengine wanaoshikiliwa na makundi ya ISIL, AL-Nusra Front pamoja na makundi mengine yenye uhusiano na kundi la kigaidi la AL-Qaeda.

Baraza hilo pia limeonya mtu au kundi lolote ambalo litatoa msaada kwa kundi la ISIS kuwa litajumuisha kwenye orodha ya makundi au watu binafsi wanaotakiwa kuwekewa vikwazo.


Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment