Image
Image

Ajali yaua mmoja na kujeruhi 40 Mafiati Mbeya




Mtu mmoja amefariki dunia na wengine zaidi ya 40 wamenusurika kifobaada ya basi la abiria waliokuwa wakisafiria la kampuni ya Majinja lililokuwa likielekea Dar es Salaam kutokea jijini Mbeya kugongana uso kwa uso na gari ndogo  njia panda ya Mafiati Mbeya._Bofya hapa kuona zaidi>>>http://www.lucypatickm.


      Baadhi ya abiria na watu mbali mbali  wakiangalia namna ajali ilivyokuwa

Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment