Image
Image

Aliyemdhuru Balozi wa MAREKANI, KOREA KUSINI kufunguliwa mashtaka


Polisi wa KOREA KUSINI wamesema watamfungulia mashitaka ya jaribio la mauaji mtu aliyamshambulia balozi wa MAREKANI nchi humo na kumsababishia majeraha.
Balozi huyo wa MAREKANI, MARK LIPPERT mwenye umri wa miaka 42, anaendelea na matibabu hospitalini baada ya kushambuliwa na KIM KI JONG jana.
Polisi wa KOREA KUSINI wamesema wanafanya pia uchunguzi kuona kama KIM ana uhusiano na KOREA KASKAZINI baada ya hati yake ya kusafiria kuonesha kuwa amekuwa na safari kadhaa nchini humo.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment