Image
Image

Basi la abiria lapata ajali Arusha



Mwaka wa ajali unaendelea kugharimu maisha ya watu ambapo sikuzahivi karibuni zimetokea ajali zaidi ya nne huku zingine zikipoteza maisha ya watu hamsini ambapo  ajali nyingine imetokea huku Basi la Sharoon linalofanya safari zake Arusha - Dodoma limeacha njia na kuanguka eneo la Kisongo, Arusha Asubuhi ya leo.

Katika ajali hiyo hakuna aliyepoteza maisha ila watu wamejeruhiwa tu.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment