Image
Image

Bei ya bidhaa za viungo katika soko la kariakoo jijini Dar es Salam yapanda mara dufu

Bei ya baadhi ya bidhaa za viungo katika soko la kariokoo jjijini DSM imepanda kwa wastani wa shilingi elfu 30 kwa gunia kutokana na uhaba wa upatikanaji wa bidhaa hizo.
kwa mujibu wa mtakwimu wa bei za ugavi wa mazao wa soko la KARIAKOO, HENRY WEJUNA amesema bei ya viungo zikiwemo njegere, pilipili hoho zimepanda kutoka shilingi zipatazo laki moja kwa msimu uliopita hadi shilingi 180,000 msimu huu.
Nao wafanyabiashara wa viungo wa sokoni hapo wameonesha kufurahishwa kwa kupanda kwa bei ya bidhaa hizo kwa kuwa sasa wanapata faida kubwa.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment