Image
Image

Boko haramu waua 68 Kaskazini-Mashariki mwa Nigeria

Wapiganaji wa Boko Haram wame wa ua watu 68 kwenye kijiji kimoja cha Jimbo la Borno ,    Kaskazini-Mashariki  mwa Nigeria.
Mashahidi wanasema wapiganaji  hao  walivamia kijiji cha Njaba ,   wakilenga watu w a zima wanaume na watoto wa kiume ,   kabla ya kukiwasha moto kijiji hicho kilichoko kilomita 100  Kusini  mwa mji mkuu wa jimbo hilo, Maiduguri.
Shambulio hilo lilitokea mapema siku ya Jumanne ,  lakini tukio lake  halikuripotiwa mara moja kutokana na eneo hilo kuwa mbali na inasemekana shambulio hilo lilitokea wakati wa  S wala y a a alfajiri .
Kikundi cha Boko Haram kimeua maelfu ya watu katika kampeni yake ya kutaka kuanzisha Himaya ya Kiislam katika maeneo ya  Kaskazini  mwa nchi hiyo.

Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment