Image
Image

CHADEMA Yaisambaratisha CCM uchaguzi serikali za mitaa Mbezi


Chama cha Demokrasia na Maendeleo- CHADEMA kimeisambaratisha vibaya Chama cha Mapinduzi -CCM katika uchaguzi mdogo wa serikali za mitaa uliofanyika leo katika mtaa wa Kingazi Kwembe Mbezi DSM

Katika matokeo yaliyotangazwa  kituoni Chadema kimepata ushindi wa kimbunga wa kura 500 huku CCM wakiambulia kura 180
Ushindi huu ni aibu kubwa kwa CCM iliyopiga kampeni kufa na kupona kwa kutumia wabunge na baadhi ya mawaziri.
Ni shangwe kuu zimetanda kila mahali huku mamia ya wananchi wakipeperusha bendera za Chadema.http://chademablog.blogspot.com/
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment