Image
Image

Chuo cha Uandishi wa Habari na Utangazaji PSJ kinawatangazia Muhula Mpya wa Masomo kwa mwaka 2015 Wahi Sasa kwani Nafasi ni Chache


Mkuu wa chuo cha Uandishi wa Habari na Utangazaji kwa Vitendo, PRACTICAL SCHOOL OF JOURNALISM, anakutangazia muhula mpya wa masomo ya uandishi wa habari na utangazaji kwa Vitendoutakaoanza Mwezi wa Tatu (March), 2015 kwa ngazi ya (Basic Certificate) Cheti NTA Level 4 pamoja na (Ordinal Diploma) Astashada NTA 5 na 6.

Chuo kimesajliwa na Nacte No.REG/BTP/023P. Chuo Kina Studio za Kisasa za Radio, Tv pamoja na Gazeti.

Huduma za Hostel zinapatikana katika mazingira mazuri pamoja na chakula muda wote.


Fomu zinapatikana Chuoni Tegeta

Kwa mawasiliano zaidi;

TEL. +255 22 2630 162

MOB. +255 782 707 030 / +255 764 424 555


Wote Mnakaribishwa
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

3 comments:

  1. Vigezo vya kujiunga na chuo ni vp

    ReplyDelete
  2. Vigezo vya kujiunga na chuo ni vp?

    ReplyDelete
  3. Lazima mtu awe amepata division ngap ndy aje kusomea uandishi wa habari na vigezo ni vip

    ReplyDelete