Image
Image

Dola milioni 187 kusaidia kukabiliana na ugonjwa EBOLA zatolewa


Dola milioni 187 kusaidia kukabiliana na EBOLA zatolewa
Shirika la fedha Duniani IMF limeidhinisha Dola Milioni 187 za kusaidai SIERRA LEONE kukabiliana na ugonjwa wa EBOLA ambao tayari umewauwa zaidi ya watu 30000 katika nchi hiyo.
Afisa mmoja wa IMF amesema awamu ya kwanza ya fedha hizo itakuwa zaidi ya Dola Milioni NANE
Marais wa SIERRA LEONE, LIBERIA na GUINEA watakutana katika mji mkuu wa UBELGIJI, BRUSSELS leo kujadili jinsi ya kumaliza kabisa maambukizi mapya ya virusi vya EBOLA katika nchi zao.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment