Image
Image

Kenya wafurahia matangazo kwa mfumo wa digital baada ya kukaa muda mrefu kufuatia mvutano na serikali ya nchi hiyo

Mvutano kati ya serikali ya Kenya na vyombo vya habari kuhusu kuhamia mfumo wa digitali kutoka analojia sasa umeisha.
Mvutano huo ulisababisha vituo vinne vikubwa vya televisheni nchini humo kutorusha matangazo.
Vituo hivyo ambavyo mfumo wake wa analojia ulizimwa sasa vinarusha matangazo ambayo yatapatikana kwa wamiliki wote wenye visimbuzi visivyolipiwa kwa wakazi wa Nairobi na vitongoji vyake.
Wananchi wa Kenya wamefurahia kufunguliwa kwa matangazo hayo ya televisheni ya mfumo wa digitali wakisema hali ilikuwa mbaya wakati wakikosa matangazo ya televisheni baada ya kufungwa matangazo ya mfumo wa analojia.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment