Image
Image

Lee kuan yew Kiongozi wazamani wa Singaporeafariki Dunia





Kiongozi wazamani wa Singapore, Lee Kuan Yew, ambaye aliibadilisha nchi hiyo kutoka mji wa bandari na kuwa taifa lenye uchumi mkubwa duniani amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 91.


Waziri huyo mkuu wa taifa hilo kwa miaka 31, alikuwa akiheshimiwa mno kama mratibu wa maendeleo ya Singapore.

Hata hivyo alikosolewa kwa kuongoza kwa mkono wa chuma, ambapo wakati wa utawala wake uhuru wa kutoa maoni ulibanwa huku wapinzani wa kisiasa walikuwa wakifikishwa mahakamani.

Maziko ya kitaifa ya Lee Kuan Yew, yatafanyika machi 29, baada ya wiki moja ya kuomboleza.


Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment