Image
Image

Mapigano yapelekea kubomolewa kaburi la Saddam Hussein mji wa Tikrit.


Kaburi la kiongozi wa Irak alinyeng'olewa madarakani Saddam Hussein limebomolewa na kusawazishwa kabisa kufuatia mapigano yanayoendelea karibu na mji wa Tikrit.

Picha zilizopigwa na shirika la habari la AP, zinaonyesha kilichobakia katika kaburi hilo la kifahari ni nguzo ambazo zilikiuwa zikishikilia paa la jengo la kaburi.




Vikosi vya jeshi la Irak wapiganaji wa Shia wanaoungwa mkono na Iran wanapigana kuwaondoa wapiganaji wa kundi la Dola ya Kiislama (IS) huko Tikrit.

Mwaka uliopita jamii ya wasuni walisema wameuondoa mwili wa Saddam, na kwenda kuuzika katika eneo ambalo halijulikani.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment