Image
Image

Mdogo wa kiume wa Msanii wa Uganda Jose Chameleone,Emmanuel Mayanga AK47 afariki dunia baada ya kuanguka gafla


Mdogo wa kiume wa msanii wa muziki Jose Chameleone, Emmanuela Mayanja Hammertone maarufu zaidi kama AK47, amefrariki dunia usiku wa jana baada ya kuanguka ghafla akiwa chooni katika pub maarufu ya Dejavu nchini Uganda.

Mwili wa AK47 uligundulika majira ya saa 2 usiku na kukimbizwa katika hospitali ya Nsambya na baadae kuthibitishwa kuwa tayari amekwishapoteza maisha na zoezi la kuuaga mwili wa marehemu linafanyika leo katika jengo la National Theater.

Salamu za rambirambi zimeendelea kumiminika kwa familia ya Mayanja kufuatia taarifa za msiba huo mzito.


Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment