Image
Image

Rais Mstaafu Benjamin Mkapa azindua rasmi Kavazi la Mwalimu NYERERE Jijini Dar es Salaam

 Rais Mstaafu wa awamu ya Tatu  nchini Tanzania Mh. BENJAMIN MKAPA amezindua rasmi Kavazi la Mwalimu Nyerere,kituo huru kilichoanzishwa ndani ya Tume ya Sayansi na Teknolojia Tanzania chenye majukumu makubwa matatu.
Jukumu la kwanza ni kuhifadhi nyaraka zilizokusanywa na waandishi wa Bayografia ya Mwalimu NYERERE ili zitumiwe na watafiti na pili ni kutoa nafasi ya mijadala ya kizuoni na mikakati juu ya masuala muhimu ya jamii.
Halikadhalika kituo hicho Kavazi la Mwalimu kinatakiwa kuandaa na kuendesha mafunzo ya nadharia na mbinu za utafiti  wa masuala ya maendeleo.
Awali Mkurugenzi wa Kavazi la Mwalimu NYERERE Profesa ISSA SHIRVJI alielezea zaidi kuhusu kituo hicho na kutaka viongozi hapa nchini kujenga utamaduni wa kuhifadhi nayaraka zao.


                                                     Profesa ISSA SHIRVJI

Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment