Image
Image

Mtangazaji wa kipindi cha TOP GEAR cha BBC Jeremy Clarkson Chupu chupu Kibarua kiote nyasi


Mtangazaji wa kipindi cha Top Gear, Jeremy Clarkson yupo katika hati hati kuondoka BBC, baada ya kusimamishwa kazi kutokana na kuanzisha ugomvi wa kipuuzu na mmoja wa maprodyuza wa kipindi hicho.

Clarkson anachunguzwa kwa kuanzisha ugomvi huo kwa kumpiga prodyuza Oisin Tymon, kutokana na kupatiwa nyama baridi katika mlo wa usiku katika moja ya hoteli ya kifahari.

Mtangazaji huyo alikuwa anashinikiza kupewa pande la nyama baada ya kumaliza kupiga picha za kipindi hicho, hata hivyo kwa wakati huo mpishi wa hoteli hiyo alikuwa ameshaondoka.

Tayari mashabiki wake 500,000 wametia saini mtandano kupinga Clarkson asifukuzwe, na Waziri Mkuu wa Uingereza David Cameron amesikika akisema anatarajia tukio hilo halitamfukuzisha kazi mtangazaji huyo.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment