Image
Image

Muigizaji wa filamu Harrison Ford ajeruhiwa katika ajali ya ndege Los Angeles Marekani


                                      Polisi akikagua ndege ya Harrison Ford
Muigizaji nyota wa filamu mkongwe Harrison Ford amejeruhiwa katika ajali ya ndege ndogo iliyotokea Los Angeles nchini Marekani.
Nyota huyo mwenye umri wa miaka 72, ndege yake ndogo ilipata hitilafu ya injini na kuanguka kwenye uwanja wa mchezo wa gofu wa Venice.
Ford alikuwa anapumua na kujifahamu wakati madaktari walipowasili katika eneo la ajali na kumkimbiza hospitali kwa matibabu.
Mtoto wa Harrison Ford aitwae Ben ambaye ni mpishi mkuu Jijini Los Angeles ametwitti maneno yasemayo baba yupo salama, amedhurika lakini hali si mbaya.
           Ndege aliyokuwa akiendesha Harrison Ford ikiwa imeanguka
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment