Image
Image

News Alert:Hali sishwari Miswungwi mwanza mabomu ya machozi yatawala,baada ya waandamanaji kuandamana kuupeleka mwili wa mwenzao wanaye dai ameuawa na Polis.



Polisi jijini Mwanza wanatumia mabomu ya machozi kuwatawanya waombolezaji waliojikusanya mjini misungwi kupinga Polisi kumpiga Magata Salum aliyekufa leo.

Hali hiyo inafuatia pale ambapo watu hao walipokuwa wamejikusanya kwa kile walichodai kuwa ni kupeleka mwili wa Magata kituo cha polisi wakidai amekufa kwa kupigwa na polisi,ambapo Jeshi la polisi mkoani humo lilisema uchunguzi unaendelea.>>Tutakujuza tupatapo taarifa zaidi
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment