Rais BALDWIN LONSDALE wa kisiwa cha Vanuatu, katika Bahari ya Pacific amesema kimbunga kilichopiga kisiwa chake na kuharibu kila kitu ni matokeo ya mabadiliko ya tabia - nchi.
Amesema kimbunga hicho kiitwacho PAM kilichokuwa kikivuma kwa kasi y a Kilomita 250 kwa saa na kusababisha mv ua kubwa ya mafuriko kimeharibu maendeleo yote yaliyokuwa yamefikiwa na kisiwa hicho.
Bwana LONSDALE alikuwa akizungumza nchini J apan ambako amekuwa akihudhuria mkutano ambako amesema kimbunga hicho kimeku wa pigo kwa serikali na watu wa kisiwa hicho.
Hadi sasa watu wanane wamethibitishwa wamekufa kutokana na kimbunga hicho,lakini idadi ya watu waliokufa hue nda ikaongezeka wakati waokoaji wakiyafikia maeneo ya mbali ya kisiwa hicho.
Home
News
Rais BALDWIN LONSDALE wa kisiwa cha Vanuatu katika Bahari ya Pacific amesema kimbunga kilichotokea kwenye kisiwa chake ni mabadiliko ya tabia nchi
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment