Image
Image

Rais obama ambeza netanyahu juu ya mpango wa nyuklia wa Iran



Rais BARACK OBAMA ametupilia mbali onyo la Waziri Mkuu wa Israeli Bwana BENJAMIN NETANYAHU kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran kufuatia hotuba yake kwenye bunge la Marekani.
                                               BENJAMIN NETANYAHU

Amesema Bwana NETANYAHU alishindwa kutoa suluhisho mbadala katika suala kuu la jinsi ya kuzuia Iran kutengeza silaha za nyuklia.

Rais BARACK OBAMA amesema kuacha makubaliano na Iran kuhusu mpango wake wa nyuklia kutaipa nchi hiyo nafasi ya kuendeleza mpango bila kizuizi.

Bwana NETANYAHU amepinga vikali mpango wa nyuklia wa Iran na kuonya kuwa makubaliano yatakayoiachia Iran ruhusa ya kutengeneza silaha za nyuklia ni hatari mno.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment