Image
Image

Kama ulikuwa hujui Sababu ya maduka ya urembo katika soko la kariakoo kuongezeka kwa wingi hii ndio ripoti halisi na sababu za ongezeko hilo pata kufahamu

Uchunguzi umebaini kwamba sababu haswa ya ongezeko la maduka ya urembo zikiwemo hereni katika eneo la KARIAKOO jijini DSM kuongezeka ni  kutoka na wanawake wengi kupenda bidhaa hizo ambapo kwa siku maduka hayo huuza bidhaa hizo  kati ya shilingi elfu 50 hadi  laki mbili. Utafiti ukazungumza na Wamiliki wa maduka hayo ambapo wao wamesema hereni za rangi mbalimbali zinauzwa kwenye maduka yao zikiwemo za rangi ya dhahabu na fedha ambazo zina soko kubwa kwa sababu hazifubai na bei yake ni nafuu .
Kwa upande wa Wanawake wanaopenda kuvaa hereni nao wamesema wanapenda urembo wa kubadilisha hereni kwa kuwa ndio mtindo wa sasa zikiwemo hereni za muundo wa duara, ndefu, fupi, ndogo na zenye majina ya chapa maarufu kama CHANNEL na LOUIS VUITTON – LV.
Haya hayo ndio mambo ya kariakoo sehemu ambayo ina bidhaa kemkem je umejipangaje kupendeza ama kumpendezesha wa ubANI?.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment