Image
Image

Taasisi 21 za misaada zailaumu UN kwa kushindwa kusaidia raia wa syria



Ripoti ya taasisi 21 za misaada imesema Umoja wa Mataifa umeshindwa kutekeleza makubaliano ya kuwalinda na kuwasaidia raia nchini Syria.

Taasisi hizo zikiwemo za Save the Children na Oxfam zimesema mwaka huu umekuwa mbaya kwa raia wakati mapigano nchini Syria yakiingia mwaka watano sasa.


Taasisi nyingine ya misaada imeeleza kuwa asilimia 83 ya taa za nchi hiyo haziwaki tangu vita vianze Machi 2011.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment