Image
Image

Tawi la CUF lateketea kwa moto Dimani Kisauni wilaya ya magharibi Zanzibar.




Tawi kuu la  chama cha wananchi CUF jimbo la Dimani lilioko kisauni wilaya ya magharibi Zanzibar limeteketea kwa  moto na kuharibika kabisa huku chanzo chake ikiwa bado ni kitendawili kwa chama hicho na Jeshi la Polisi Zanzibar.

Kamanda wa polisi mkoa wa mjini magharibi kamishna msaidizi wa Polisi   Mucadam Khamis Mucadam  amemsmea Polisi imefika katika eneo la tukio na kuanza upelelzi   na moto huo ulianza wakati wa usiku saa nane hadi sasa bado ni mapema kuzungumzia chanzo chake kwa vile bado Polisi ianendelea na uchunguzi huku akisisitiza ustahimilivu wa kisiasa   

Hata hivyo wakakti Polis ikendelea na uchungzi wake chama cha waanchi CUF kupitia kwa mkurugenzi wake wa uenezi na uhusiano wa umma Bw Salum Bimani amesema Tawi hilo limechomwa na watu waliokuwa na nia ya maksudi kunfanya kitendohicho na hizo ni njama za kuitaka kukidhofisha chama chao kulekea uchaguzi  mkuu huku mwnyekiti wa  CUF jimbo la Dimani Bw. Ali Juma Ali amesema walinzi walioko karibu na  tawi hilo wamedai kuwaona watu wanne waliokuja na gari na inasemkana walivunja  kufuli na kuingia ndani na kuwasha moto na kuondoka.
Jengo la CUF likionekana likiwa limeungua leo katika jimbo la Dimani lilioko kisauni wilaya ya magharibi Zanzibar




Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

1 comments:

  1. tunatakiwa tustahamili sana ndugu zanguni kwani kuna watu wanataka kutufarakisha sisi nao si wengine ni viongoz wetu wenyewe kwa hiyo tuwe na akili zetu timamu

    ReplyDelete