Image
Image

Wachambuzi wa mambo wasema kuwa kuwa boko haram kutaka kuwa na umoja na Islamic State inatokana na propaganda

Wachambuzi wanasema juhudi za kikundi cha Boko Haram cha Nigeria kutaka kuwa  na umoja na kikundi cha Islamic State  kwa sasa inatokana kama kukuza  propaganda na kuonyesha kudhoofika kwake.
Hata hivyo wameonya kuwa katika muda mrefu  wa miaka sita ijayo hatua hiyo  itachangia zaidi kukuza kimataifa mgogoro wa sasa wa Nigeria.
Juhudi za kikundi hicho zinakuja wakati katika wiki za hivi karibuni makundi  yote hayo ya itikadi kali yakipoteza nguvu kwenye uwanja wa mapambano na  majirani wa Nigeria wakiunda kikosi cha pamoj a cha kijeshi cha kupambana  na  kikundi cha Boko Haram.
Hivi sasa majeshi ya Niger na Chad yamenza mashambulio  makali ya anga na   nchi kavu  Kaskazini-Mashariki  mwa Nigeria dhidi ya wapiganaji wa Boko Haram.

Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment