Image
Image

Waisrael wanapiga kura katika uchaguzi wa Wabunge,huku waziri mkuu wa nchi hiyo BENJAMIN NETANYAHU akijiwekea matumaini ya kushinda ili aendelee kuongoza nchi hiyo

Waisraeli wanapiga kura katika uchaguzi wa Wabunge huku Waziri Mkuu Bwana BENJAMIN NETANYAHU akiwania kushinda uchaguzi huo ili awe kiongozi pekee aliyehudumu kwa muda mrefu nchini humo.


Lakini katika kura ya maoni chama chake cha LIKUD kinajikokota nyuma ya
muungwano wa mrengo wa kushoto na ushindani umekuwa mkali kuliko
ilivyotarajiwa.
Katika mkesha wa uchaguzi huo na katika kutafuta kuungwa mkopo na wapiga
kura Bwana NETANYAHU alisema kamwe hataruhusu kuundwa kwa taifa la Palestina
wakati akiwa madarakani.


Kulingana na wachambuzi haielekei upande wowote kuibuka na ushindi wa moja
kwa moja wa kuweza kuunda serikali kwa hiyo pamoja na matokeo kuanza
kujulikana baada ya zoezi la upigaji kura lakini itachukua muda kuunda
serikali kwa sababu ya mazungumzo ya serikali ya mseto.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment