Image
Image

Wanawake nchini washauriwa kujiendeleza kielimu ili waweze kukabiliana na changamoto ya malezi

Wanawake nchini wametakiwa kujiendeleza kielimu ili waweze kukabiliana na changamoto ya malezi ya sasa yaliyo na ushindani hasa katika nyanja ya mawasiliano ambapo pamoja na mambo mengine wametakiwa kutenga muda wa kukaa pamoja na familia zao.
Wito huo umetolewa na baadhi ya wanawake waishio Jijini TANGA wakiwemo wanawake wafanyakazi wa Benki ya CRDB Mkoa wa TANGA ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Wanawake kinachoanyika Machi NANE kila mwaka duniani kote.
Wito huo umeenda sambamba na zoezi la ugawaji wa vitu mbalibali kwa wagonjwa waliolazwa katika wodi ya watoto ya Hospitali ya BOMBO.
Kauli mbiu ya Siku ya Wanawake Duniani mwaka huu ni  ilikuwa ni WAJIBIKA MAMA MTOTO AISHI.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment