Image
Image

WHO: Yasema kuwa hakuna wagonjwa wapya wa maradhi ya EBOLA

Shirika la Afya Duniani limesema hakuna taarifa za wagonjwa wapya wa EBOLA
nchini Liberia.
Shirika hilo limesema Liberia haijaripoti uthibitisho wa maambukizi yoyote
mapya ya ugonjwa huo kwa mara ya kwanza tangu mwezi Mei mwaka jana.
Liberia ni miongoni mwa nchi tatu za Afrika Magharibi zilizoathirika na
ugonjwa huo nyingine zikiwa Guinea na Sierra ambazo watu wapatao 10,000
wamekufa kwa ugonjwa huo.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment