Image
Image

Kamati ya mawasiliano na ujenzi ya baraza la wawakilishi yatembelea miradi ya maendeleo inayotekelezwa na idara ya njia Zanzibar.


Mhandisi mkuu  wa uub  eng. Cosmas masolwa akitoa maelezo  kwa wajumbe wa kamati ya mawasiliano na ujenzi  ya baraza la wawakilishi juu ya ukarabati unaoendelea wa  kuihami njia ya chaani kwa kuwekewa kifusi kabla ya kukamilishwa  ujenzi wake kwa kiwango cha lami hap baadae.
Wajumbe wa kamati ya mawasiliano na ujenzi ya baraza la wawakilishi wakitembelea miradi ya maendeleo inayotekelezwa  na idara ya ujenzi wa barabara (uub). Mwenyekiti wa kamati hiyo wakwanza  (kushoto) mahmoud muhammed mussa akiwa na wajumbe wenzake na watendaji wakuu wa uub wakikagua barabara ya chaani iliopo wilaya ya kaskazini ‘a’ unguja.
Sehemu ya barabara ya chaani  iliyotembelewa na kamati  hiyo  ambayo inafanyiwa matengenezo ya kutiwa kifusi  ili weze kupitika huku ikisubiri ujenzi wake kwa kiwango cha lami hapo baadae.
Picha na makame mshenga-maelezo zanzibar






Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment