Image
Image

Breaking News: Wimbi la ajali laendelea kutesa abiria WATU 10 wamefariki na 40 kujeruhiwa katika ajali iliyohusha basi la UNIQUE na LORI LA COCA COLA Shinyanga.


Watu kumi wamefariki dunia na wengine zaidi ya arobaini wamejeruhiwa baada ya basi la UNIQUE lenye namba T148BKK na LORY la kampuni ya COCA COLA lenya namba za usajili T207BSA liliokua linakokota tela namba T655AJT katika kata ya Samuye mkoani Shinyanga.
Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Shinyanga Justus Kamugisha  amesema chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi .

Amesema majeruhi wamepelekwa katika hospitali ya mkoa wa Shinyanga kwa matibabu na maiti wanahifadhiwa katika hospitali hiyo.
Kuhusu hali za madereva amesema hali ya dereva wa basi ni mbaya isipokuwa dereva wa lori ambaye amekimbia baada ya ajali, amejisalimisha polisi
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment