Image
Image

Breaking News:Majambazi ya vamia kituo cha polisi nakuua 8 Stakishari Ukonga jijini Dar es Salaam.


Watu wenye silaha wamevamia kituo cha Polisi cha Staki Shari Ukonga jinini  Dar es Salaam na kuua takribani watu wanane wakiwemo askari mgambo mmoja na Raia mmoja anayedhaniwa kuwa jambazi.
Katika tukio hilo la kuvamiwa kwa kituo cha polisi na kusababisha vifo na taharuki kwa wakazi wa maeneo hayo pia Watoto watatu waliokuwamo kituoni hapo baada ya kupotea wamenusurika kuuawa huku wakisubiriqwa ndugu na jamaa zao kuja kuwa chukua.
Taarifa za awali Tulizonazo ndio hizi Endelea kufuatilia kufahamu.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment