Image
Image

Prof.Lipumba amelaani kitendo cha kujeruhiwa watu wa wili waliokuwa wanaenda kujiandikisha kupiga kura Makunduchi.

Kufuatia watu wawili waliojeruhiwa na watu waliokuwa wamejigunika nyuso zao huko katika mtaa wa makunduchi zanzibar waliokuwa wakienda kujiandikisha katika daftari la wapiga kura, mwenyekiti wa chama cha wananchi (CUF) Mhe Prof.Ibrahimu lipumba ametoa tamko la kulaani kitendo hicho.
Akiwahutubia wananchi katika viwanja vya sabasaba wilayani Buhigwe mkoani kigoma mwenyekiti huyo Mhe.Lipumba amesema kitendo hicho si cha kuvunilia.
Aidha Mhe.Lipumba amemtaka rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kama amiri jeshi mkuu kuhakikisha amani na usalama vinaendelea kuwepo wakati tukielekea katika uchaguzi mkuu ujao
.>>Bonyeza SHARE Hapo juu uwezavyo ili washkaji zako wasipitwe na Stori kama Hizi na Tunapokea matangazo maelekezo hapo kwenye ukurasa wetu yana jieleza kuwa wa kwanza kutangaza nasi.

Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment