Waendesha mashtaka walitupilia mbali kesi dhidi ya
raisi Uhuru Kenyatta iliyokuwa ikimkabili.
Kesi hiyo ilifungwa baada ya maafisa wa upelelezi
dhidi ya uhalifu Kenya kuweka vizingiti katika kupata ushahidi wa kutosha dhidi
ya raisi huyo.
Hakimu Silvia Fernandez de Gurmendi alisema kuwa
waendesha mashtaka waliwacha mapengo mengi katika shughuli zao za
uchunguzi.Aidha Silvia aliwaomba waendesha mashtaka hao wafanye uchunguzi tena
na wafungue kesi hiyo upya.


0 comments:
Post a Comment