Chama cha waziri mkuu kilisema kuwa
zawadi hiyo ilitolewa kwa Malaysia kwa kuwa iliunga mkono uislamu hasa dhehebu
ya Sunni.
Chama hicho pia kilisema kuwa nchi
nyingine kama vile Ufilipino na Thailand na kwamba Malaysia
pia ilipokea zawadi kama hiyo katika mwaka wa 2013.
Upinzani umeomba tume ya kukabiliana
na ufisadi kuchunguza zawadi zinazotolewa kwa chama hicho huku kikidai kuwa iwapo
fedha zilizotolewa katika mwaka wa 2013 zilitumiwa katika kampeni za
mwaka huo basi uchaguzi huo unafaa kufutiliwa mbali.


0 comments:
Post a Comment